Habari
WALENGWA WA TASAF WAHIMIZWA KUCHANGIA ASILIMIA 10 YA NGUVUKAZI YAO ILI KUKAMILISHA MIRADI YA TASAF YA UJENZI WA MIUNDOMBINU

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akisisitiza jambo wakati akizungumza na wananchi na wanafunzi wa Kijiji cha Mang’oto mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa bwalo la chakula katika Shule ya Sekondari Mang’oto linalojengwa kwa ufadhili wa TASAF, wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF katika Halmashauri ya Wilaya Makete.