Habari
WALENGWA WA TASAF TUMIENI FURSA YA MKOPO WA ASILIMIA 10 KATIKA HALMASHAURI KUENDELEA KUBORESHA MAISHA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Nyakitonto katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kwenye Halmashauri hiyo.