Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WALENGWA WA TASAF TUMIENI FURSA YA MKOPO WA ASILIMIA 10 KATIKA HALMASHAURI KUENDELEA KUBORESHA MAISHA


Walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Nyakitonto katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kwenye Halmashauri hiyo.