Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WALENGWA WA TASAF KATA YA RUSIMBI KIGOMA UJIJI WATAKIWA KUBORESHA MAISHA YAO ILI KUTOMUANGUSHA MHE. RAIS BAADA YA KUONGEZA MUDA WA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA TASAF


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi  akizungumza na wananchi wa Kata ya Rusimbi, Mtaa wa Kawawa na Taifa mkoani Kigoma wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.