Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WALENGWA WA TASAF BORESHENI MAISHA YENU ILI KUUNGA MKONO AZMA YA MHE. RAIS YA KUBORESHA MAISHA YA KAYA MASIKINI–Mhe. Ndejembi


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimemnti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Arri, Kata ya Nangara, Halmashauri ya Mji Babati wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kwenye Halmashauri hiyo.