Habari
WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WAHIMIZWA KUSIMAMIA MIRADI YA TASAF KIKAMILIFU KAMA WANAVYOSIMAMIA MIRADI MINGINE YA MAENDELEO

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (aliyenyanyua mikono) akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Nyanza mara baada ya kukagua madarasa na vyoo vya shule ya Kivukoni vilivyojengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Geita.