Habari
WAHITIMU WA MAFUNZO YA UONGOZI WATAKIWA KUTUMIA VIZURI ELIMU WALIYOIPATA KUSIMAMIA RASILIMALIWATU NA FEDHA

Sehemu ya Wahitimu wa Astashada na Stashahada ya Uzamili ya Uongozi wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi alipokuwa akizungumza nao wakati wa mahafali ya tano ya Taasisi ya UONGOZI yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.