Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAFANYAKAZI BORA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAKIRI KITENDO CHA SERIKALI KUBORESHA MASLAHI KIMEWAMOTISHA KUFANYA KAZI KWA BIDII


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Xavier Daudi (wa kwanza kulia) akishuhudia zoezi la kuhesabu kura za kumpata mfanyakazi bora wa ofisi yake kwa mwaka 2023.