Habari
WAFANYAKAZI BORA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAKIRI KITENDO CHA SERIKALI KUBORESHA MASLAHI KIMEWAMOTISHA KUFANYA KAZI KWA BIDII

Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakikamiliza zoezi la kupiga kura kumchagua mfanyakazi bora wa ofisi hiyo kwa mwaka 2023.