Habari
WAFANYAKAZI BORA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAKIRI KITENDO CHA SERIKALI KUBORESHA MASLAHI KIMEWAMOTISHA KUFANYA KAZI KWA BIDII

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Mussa Magufuli akitoa mwogozo wa vigezo vitakavyotumika kumchagua mfanyakazi bora kabla ya watumishi wa ofisi yake kumchagua mfanyakazi bora wa ofisi hiyo kwa mwaka 2023.