Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAFANYAKAZI BORA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAKIRI KITENDO CHA SERIKALI KUBORESHA MASLAHI KIMEWAMOTISHA KUFANYA KAZI KWA BIDII


Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Mussa Magufuli wakati akifafanua vigezo vya kumchagua mfanyakazi bora wa ofisi hiyo kwa mwaka 2023.