Habari
WAFANYAKAZI BORA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAKIRI KITENDO CHA SERIKALI KUBORESHA MASLAHI KIMEWAMOTISHA KUFANYA KAZI KWA BIDII

Mfanyakazi bora aliyeshika nafasi ya pili Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Juma Senzoka akiahidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa, mara baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo kwa mwaka 2023.