Habari
WAFANYAKAZI BORA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAKIRI KITENDO CHA SERIKALI KUBORESHA MASLAHI KIMEWAMOTISHA KUFANYA KAZI KWA BIDII

Mfanyakazi bora wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Zainabu Waziri akiahidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii, mara baada ya kuchaguliwa kuwa mfanyakazi bora wa ofisi hiyo kwa mwaka 2023.