Habari
WAAJIRI WATAKIWA KUWARUHUSU MAKATIBU MUHSUSI NA WATUNZA KUMBUKUMBU KUSHIRIKI MKUTANO UTAKAOWAJENGEA UWEZO KIUTENDAJI KUTIMIZA DHAMIRA YA MHE. RAIS YA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Sehemu ya Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma kuhusu mkutano wa kitaaluma wa Makatibu Mahsusi na Watunza Kumbukumbu utakaofanyika Zanzibar.