Habari
WAAJIRI WATAKIWA KUWARUHUSU MAKATIBU MUHSUSI NA WATUNZA KUMBUKUMBU KUSHIRIKI MKUTANO UTAKAOWAJENGEA UWEZO KIUTENDAJI KUTIMIZA DHAMIRA YA MHE. RAIS YA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Waandishi wa Habari na Watendaji wa ofisi yake (hawapo pichani) jijini Dodoma kuhusu mkutano wa kitaaluma wa Makatibu Mahsusi na Watunza Kumbukumbu utakaofanyika Zanzibar.