Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAAJIRI TATUENI CHANGAMOTO YA UHABA WA WATUMISHI KWA KUBAINI NA KUWAENDELEZA WATUMISHI WENYE UJUZI ILI KUZIBA NAFASI KATIKA KADA ZENYE UHITAJI


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Bw. Erasto Kiwale akitoa neno la shukrani kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi mara baada ya kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma walio katika Wilaya hiyo.