Habari
WAAJIRI SERIKALINI WATAKIWA KUTOKWEPA JUKUMU LA KUWACHUKULIA HATUA WATUMISHI WANAOKIUKA MAADILI

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akifunga kikao kazi cha siku mbili cha wadau wa usimamizi wa maadili katika utumishi wa umma kilicholenga kujadili matokeo ya tafiti ya hali ya uzingatiaji maadili katika utumishi wa umma ya mwaka 2022, jijini Dodoma.