Habari
VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI WAHIMIZWA KUWEKA UWAZI KATIKA KUWATAMBUA WANAOSTAHILI KUINGIZWA KWENYE MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI ILI KUEPUSHA MALALAMIKO

Sehemu ya wananchi na walengwa wa TASAF wa Kata ya Masaki, Kijiji cha Kisanga, Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati akizungumza nao alipokuwa kwenye ziara ya kikazi iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF.