Habari
VIONGOZI MKOANI RUVUMA WATAKIWA KUSIMAMIA RASILIMALIWATU ILI KUINUA PATO LA TAIFA KUPITIA FILAMU YA ‘THE ROYAL TOUR’

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na viongozi na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wakati wa tamasha la kuenzi mchango wa filamu ya ‘The Royal Tour’ katika uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.