Habari
UZINGATIAJI WA MAADILI KATIKA UTUMISHI WA UMMA WAONGEZEKA NA KUFIKIA ASILIMIA 75.9 KUTOKANA NA JITIHADA ZA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) jijini Dodoma leo wakati akitoa matokeo ya tafiti ya hali ya uzingatiaji maadili katika Utumishi wa Umma ya mwaka 2022. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni.