Habari
UZINGATIAJI WA MAADILI KATIKA UTUMISHI WA UMMA WAONGEZEKA NA KUFIKIA ASILIMIA 75.9 KUTOKANA NA JITIHADA ZA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

Sehemu ya Watendaji wa Ofisi ya Rais - UTUMISHI pamoja na Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati akitoa matokeo ya tafiti ya hali ya uzingatiaji maadili katika Utumishi wa Umma ya mwaka 2022.