Habari
UTEKELEZAJI WA KANUNI YA 61(4) YA KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA ZA MWAKA 2022 KUTATUA CHANGAMOTO YA WATUMISHI WA UMMA KUONEWA

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akifafanua hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2021/2022.