Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

UTEKELEZAJI WA KANUNI YA 61(4) YA KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA ZA MWAKA 2022 KUTATUA CHANGAMOTO YA WATUMISHI WA UMMA KUONEWA


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akiongoza kikao kazi cha kamati yake leo jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2021/2022.