Habari
URASIMISHAJI ARDHI KUPITIA MKURABITA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI NA KUONGEZA FURSA ZA AJIRA WILAYANI BAHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Msisi, wilayani Bahi, mkoani Dodoma wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kutoa hatimiliki za kimila na kuweka mawe ya msingi kwenye ofisi za masijala zilizojengwa na MKURABITA wilayani Bahi.