Habari
UNESCO YAITAMBUA TANZANIA KUWA NA HIFADHI YA NYARAKA ZA KIJERUMANI AMBAZO HAZIPATIKANI SEHEMU NYINGINE YOYOTE DUNIANI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiangalia moja ya kitabu kinachoelezea historia ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji kwa Watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dar es Salaam.