Habari
UCHAGUZI WA MFANYAKAZI HODARI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa ofisi yake kwenye kikao cha kumchagua mfanyakazi hodari wa Ofisi hiyo kwa mwaka 2021/2022