Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

TPSC NA TAASISI YA UONGOZI ZATAKIWA KUANDAA PROGRAMU ZA MAFUNZO ZITAKAZOBORESHA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI


Sehemu ya Menejimenti ya Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji wa watumishi wa chuo hicho.