Habari
TPSC IMEPEWA DHAMANA YA KUTOA MAFUNZO YA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA KUWANUFAISHA WATANZANIA-MHE. JENISTA

Wahitimu wa Mahafali ya 35 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wahitimu hao kabla ya kuwatunuku vyeti wakati wa Mahafali ya 35 ya TPSC yaliyofanyika katika Kampasi ya chuo hicho jijini Mbeya.