Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

TASAF YATEKELEZA MAELEKEZO YA MHE. RAIS YA KUJENGA BARABARA KWA GHARAMA NAFUU KIJIJI CHA NANGOSE AMBAZO HAZIKUWAHI KUJENGWA TANGU TAIFA LIPATE UHURU


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na watendaji wa Wilaya ya Masasi alipowasili wilayani humo kwa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani humo.