Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

TASAF YATEKELEZA MAELEKEZO YA MHE. RAIS YA KUJENGA BARABARA KWA GHARAMA NAFUU KIJIJI CHA NANGOSE AMBAZO HAZIKUWAHI KUJENGWA TANGU TAIFA LIPATE UHURU


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha Nangose Kata ya Temeke, Halmashauri ya Mji Masasi wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani Masasi.