Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

TASAF YAMUWEZESHA MLENGWA KUFUNGUA DUKA LINALOTOA HUDUMA KWA JAMII INAYOMZUNGUKA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisikiliza ushuhuda wa mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, Bi. Sophia Agustino wa Kijiji cha Ngalinje wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wilayani humo.