Habari
TASAF YAMUWEZESHA MLENGWA KUFUNGUA DUKA LINALOTOA HUDUMA KWA JAMII INAYOMZUNGUKA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha Ngalinje, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika wilaya hiyo.