Habari
TASAF YAELEKEZWA KUJENGA WODI YA AKINA MAMA NA AKINA BABA KATIKA ZAHANATI YA LUSHAMBA ILI KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akihimiza uwajibikaji kwa watumishi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wilayani Sengerema wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza.