Habari
TASAF YAELEKEZWA KUJENGA WODI YA AKINA MAMA NA AKINA BABA KATIKA ZAHANATI YA LUSHAMBA ILI KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwahimiza viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema kukamilisha mradi wa ujenzi wa madarasa ya Shule ya Msingi Chema wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Mwanza.