Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA AZERBAIJAN KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANANCHI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Mwenyekiti wa Wakala wa Taifa kwa Utumishi wa Umma na Ubunifu wa Kijamii ya nchini Azerbaijani, Mhe. Ulvi Mehdiyev mara baada ya kufanya  mazungumzo kwa ajili ya kubadilishana uzoefu katika  utoaji wa huduma bora na  ya pamoja ‘‘ One Stop Service Center ‘‘ kwa wananchi kufuatia nchi hiyo kupiga  hatua kubwa katika eneo hilo