Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA AZERBAIJAN KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANANCHI


Sehemu ya wataalam wa hapa nchini walioshiriki kikao kazi baina ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene na Mwenyekiti wa Wakala wa Taifa kwa Utumishi wa Umma na Ubunifu wa Kijamii ya nchini Azerbaijan, Ulvi Mehdiyev Dar es Salam katika mazungumzo waliyoyafanya kwa ajili ya kubadilishana uzoefu katika  utoaji wa huduma bora na  ya pamoja ‘‘ One Stop Service Center ‘‘ kwa wananchi kufuatia nchi hiyo kupiga  hatua kubwa katika eneo hilo