Habari
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA AZERBAIJAN KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANANCHI

Sehemu ya timu ya wataalamu wa Wakala wa Taifa kwa Utumishi wa Umma na Ubunifu wa Kijamii ya nchini Azerbaijan wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati wa mazungumzo yaliyolenga kubadilishana uzoefu katika utoaji wa huduma bora na ya pamoja ‘‘ One Stop Service Center ‘‘ kwa wananchi kufuatia nchi hiyo kupiga hatua kubwa katika eneo hilo