Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA AZERBAIJAN KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANANCHI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza jijini  Dar es Salam mara baada ya timu ya wataalamu wa Wakala wa Taifa kwa  Utumishi wa Umma na Ubunifu wa Kijamii ya nchini Azerbaijan kuwasili ofisini kwake kwa  ajili ya kubadilishana uzoefu katika  utoaji wa huduma bora na  ya pamoja ‘‘ One Stop Service Center” kwa wananchi kufuatia nchi hiyo kupiga hatua kubwa katika eneo hilo.