Habari
TAASISI ZA UMMA ZATAKIWA KUTUMIA MIFUMO SHIRIKISHI YA TEHAMA ILIYOJENGWA NA KUSANIFIWA NA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO

Washiriki wa kikao kazi cha tatu cha serikali mtandao wakisikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista (hayupo pichani) wakati akifunga kikao kazi hicho jijini Arusha kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).