Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

TAASISI ZA UMMA ZATAKIWA KUANDAA NA KUHUISHA MIKATABA YA HUDUMA KWA MTEJA NA KUIWASILISHA UTUMISHI ILI KUPATA IDHINI YA KUITUMIA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) jijini Dodoma wakati akielezea utekelezaji wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja katika Taasisi za Umma nchini. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi na Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Taasisi, Bw. Nolasco Kipanda.