Habari
TAASISI YA UONGOZI INATOA MAFUNZO YANAYOWAJENGEA UWEZO VIONGOZI KIUTENDAJI ILI KUIMARISHA UTAWALA BORA NCHINI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Awamu ya Tatu ya Programu ya Mafunzo kwa Viongozi, yanayoratibiwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Serikali ya Finland na Umoja wa Mataifa.