Habari
SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAKARABATI JENGO LA OFISI YA KARAKANA YA NDEGE ZA SERIKALI LILILOJENGWA MIAKA 65 ILIYOPITA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akikagua miundombinu ya usalama ya jengo la ofisi ya Karakana ya Wakala wa Ndege za Serikali kabla ya kulizindua jengo hilo jijini Dar es Salaam.