Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAKARABATI JENGO LA OFISI YA KARAKANA YA NDEGE ZA SERIKALI LILILOJENGWA MIAKA 65 ILIYOPITA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akikata utepe kuzindua jengo la ofisi ya Karakana ya Wakala wa Ndege za Serikali jijini Dar es Salaam.