Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WAAJIRI WANAOENDESHA MASHAURI YA KINIDHAMU BILA KUZINGATIA TARATIBU - Mhe. Jenista


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) mara baada ya Waziri huyo kufungua mkutano wa baraza hilo jijini Dodoma.