Habari
SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WAAJIRI WANAOENDESHA MASHAURI YA KINIDHAMU BILA KUZINGATIA TARATIBU - Mhe. Jenista

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) ambaye ni Rais wa TUCTA Ndg. Tumaini Nyamhokya akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kufungua Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania.