Habari
SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WAAJIRI WANAOENDESHA MASHAURI YA KINIDHAMU BILA KUZINGATIA TARATIBU - Mhe. Jenista

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa baraza hilo jijini Dodoma.