Habari
SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA MATAPELI WANAOSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU KUWAREJESHA KATIKA UTUMISHI WA UMMA WATUMISHI WALIOBAINIKA KUGHUSHI VYETI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumzia uamuzi wa Serikali wa kuwachukulia hatua matapeli wanaosambaza taarifa za uongo kuhusu kuwarejesha katika Utumishi wa Umma watumishi waliobainika kughushi vyeti na kuondolewa katika Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara.