Habari
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA KIDINI KUTOA HUDUMA ZA KIJAMII NA KULETA MAENDELEO -MHE. JENISTA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa Dini na washarika katika Ibada ya kumuweka Wakfu Baba Askofu Mteule, Mchungaji Lawi Afwilile Mwankuga wa Kanisa la Moravian Jimbo la Mashariki iliyofanyika Makao Makuu ya Jimbo la Mashariki, Chamazi jijini Dar es Salaam.