Habari
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN : RUSHWA INAZIDHOOFISHA NCHI ZA AFRIKA

Sehemu ya Wanafunzi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungmza nao wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Barani Afrika ambayo yamefanyika leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC, jijini Arusha