Habari
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAJENGEA SOKO LA KISASA WANANCHI WA PERAMIHO KUPITIA TASAF

Mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa Peramiho, akiishukuru Serikali kwa niaba ya walengwa wengine wa mpango huo na wananchi wa Peramiho, Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma kwa kujengewa soko la kisasa.